Meneja wa bend ya msondo ngoma ameieleza blog hii kuwa mwaka huu wamejipanga vya kutosha kuhakikisha wana kupatia burudani ya kufa mtu
Hata hivyo msondo ndiyo band inayopendwa na vijana na wazee hapa nchini ndio sababu inay mfanya meneja wa band hii kuwa na bashasha ya kuandaa mambo mengi zaid
mwisho amesema meneja huyo kuwa burudani zitaendelea kwani walokua wanasubiri mwezi mtukufu uishe
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment