MSONDO NGOMA WAJIPANGA KIKAMILIFU MWAKA 2015

kushoto ni SAIDI KIBIRI meneja wa bendi pendwa ya mziki wa dansi MSONDO NGOMA Akiwa na mwimbaji mkongwe shaban dede {kulia}........

SAIDI KIBIRI ambaye ndiye meneja wa bendi  ameelezea vyombo mbalimbali kuhusu bendi yake ya msondo kuwa hivi karibuni wamewaandalia burudani za kutosha kwa mashabiki wake kwani meneja huyo amejipanga kikamilifu kuhakikisha watanzania wote wanapata burudani kwa rika zote kwakua nyimbo za msondo ngoma zina mafundisho na maonyo na burudani....
 amesema saidi kibiri kuwa yeye na bendi nzima imejipanga kwa kiasi kikubwa na pia kwa takwimu zilizo pigwa ni kwamba mpaka sasa bendi yenye nguvu na iliyodumu kwa miaka mingi ni MSONDO NGOMA BAND Na ndio sababu inayomfanya meneja saidi kibiri kuweza kujipanga na kuiboresha bendi hiyo .............

kila la heri MSONDO NGOMA BAND {mambo hadharani}
Share on Google Plus

About msondongoma

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment